Current Positions
A member of the 11th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Harrison Kombe.
Parliamentary Activity
Hon. Kombe Asante Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie mjadala huu wa taarifa hii. Nimesoma na nimesikiza kwa makini wenzangu wakijadili. Lakini yapasa pia tuwe na shukrani kwa Mwenyezi Mungu na hata kwa Serikali iliyoko wakati wa sasa. Tukichukua mfano wa Kibra kama alivyosema Mhe. Ken Okoth,...
Official Hansard sourceHon. Kombe Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kama anavyosema Mhe. Ken Okoth, ahadi zilikuwa kima cha ndovu lakini kilichotendeka ni kima cha sungura. Sawa, hicho kima cha sungura hakikuwepo mbeleni. Unastahili kuwa na shukrani. Ieleweke kwamba kuanza jambo si kazi rahisi. Huwa kuna changamoto nyingi unapoanzisha jambo. Kuna uwezekano...
Official Hansard sourceHon. Kombe Asante Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie mjadala huu wa taarifa hii. Nimesoma na nimesikiza kwa makini wenzangu wakijadili. Lakini yapasa pia tuwe na shukrani kwa Mwenyezi Mungu na hata kwa Serikali iliyoko wakati wa sasa. Tukichukua mfano wa Kibra kama alivyosema Mhe. Ken Okoth,...
Official Hansard sourceHon. Kombe Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kama anavyosema Mhe. Ken Okoth, ahadi zilikuwa kima cha ndovu lakini kilichotendeka ni kima cha sungura. Sawa, hicho kima cha sungura hakikuwepo mbeleni. Unastahili kuwa na shukrani. Ieleweke kwamba kuanza jambo si kazi rahisi. Huwa kuna changamoto nyingi unapoanzisha jambo. Kuna uwezekano...
Official Hansard sourceHon. Kombe Ahsante Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kurudisha shukrani kwa Waheshimiwa waliopata nafasi kufika kwa mazishi ya mamangu, na wale ambao walinyoosha mikono yao. Mwenyezi Mungu awabariki. Mhe. Naibu Spika, ukweli wakati mwingine ni mchungu, lakini haina budi usemwe. Zote tulikosea tulipochukua kitengo cha afya na kukiweka...
Official Hansard sourceHon. Kombe Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. Mine is to seek some clarification. The composition of the Board will have two fisherpersons from fresh waters and from mariners. Is it one from each or two from each? The Temporary Deputy Chairman (Hon. Cheboi) : Let us also have Hon....
Official Hansard sourceBills Sponsored
Harrison Kombe has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.