National Assembly
Amin Deddy Mohamed Ali
Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Amin Deddy Mohamed Ali.
Parliamentary Activity
Hon. Mohamed Ali (Nyali, Independent) Shukrani sana Mheshimiwa spika kwa kunipa fursa hii. Ningependa kuwaunga wenzangu mkono na kuungana na taifa nzima kwa ujumla kutoa rambirambi zetu kwa marehemu Mariam Kighenda na mtoto wake, Amanda. Licha ya hayo, umesema ya kwamba utatutengea muda tuzungumzie jambo hili kwa sababu, iwapo hakutakuwa...
Official Hansard sourceHon. Mohamed Ali (Nyali, Independent) Shukran sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Pia mimi ningependa kuchangia na kusema kwamba hii ni aibu hapa nchini Kenya iwapo baada ya kutokea kile kisa cha Mtongwe bado hatujajifunza lolote. Ni aibu kubwa iwapo leo Serikali itatangaza na kusema kwamba haina hewa ya kutosha...
Official Hansard sourceHon. Mohamed Ali (Nyali, Independent) Asante sana. Kama anataka nizungumzie pesa ya ufisadi nitampatia. Shilingi bilioni moja nukta nane iliweza kutolewa kununua feri mpya mbili. Hizo pesa hatujui zimeenda wapi. Ferry mpya hatujapata mpaka sasa. Shilingi milioni 78 zilitolewa kwa Kenya Ferry Services iweze kuweka camera za CCTV ili wale...
Official Hansard sourceHon. Mohamed Ali (Nyali, Independent) Mhe. Spika, Shukrani sana kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, ningependa kuweka rekodi sawa kabisa. La kwanza na muhimu zaidi ni kwamba idadi ya Wabunge waliokuwa wakitaka kupiga kura ilikuwa mia asili mia. Ya pili, swali likauliza na Wabunge wote kwa kauli moja wakakubaliana na...
Official Hansard sourceHon. Mohamed Ali (Nyali, Independent) Mhe. Spika, Shukrani sana kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, ningependa kuweka rekodi sawa kabisa. La kwanza na muhimu zaidi ni kwamba idadi ya Wabunge waliokuwa wakitaka kupiga kura ilikuwa mia asili mia. Ya pili, swali likauliza na Wabunge wote kwa kauli moja wakakubaliana na...
Official Hansard sourceHon. Mohamed Ali Mhe. Naibu Spika wa Muda, shukrani sana. Naomba nianze kwa kusema kuwa naunga mkono Hoja hii kuhusu maafisa wa polisi. Sharti masuala yao yaungwe mkono. Nitaanza kwa kusema kuwa dunia nzima imewekeza vilivyo katika usalama wa taifa lakini hapa nchini Kenya, sisi tumewekeza katika uhalifu wa kujitakia...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Amin Deddy Mohamed Ali has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.