National Assembly
Khatib Abdallah Mwashetani
Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Khatib Abdallah Mwashetani.
Parliamentary Activity
Hon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia kuhusu Hoja ambayo imeletwa na Mhe. Sankok. Kamwe tunafahamu kwa kweli kabisa bei ya vyakula imepanda. Sana sana tukikaribia uchaguzi utapata bei ya vyakula inapanda. Lakini ukiangalia katika ujumbe huu ambao umeletwa leo na Mhe. Sankok...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Thank you, Hon. Speaker, for giving me this opportunity. I rise to request for a Statement on recognition of the Pemba people of Kenya as citizens of Kenya. Hon. Speaker, pursuant to the provisions of Standing Order 44 (2) (c) , I wish to request...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Hon. Speaker, it is quite in order as we know that members of the Pemba Community in Kenya have waited for long. I believe the report he has given us will be pursued with the Ministry and it will be effected. Thank you, Hon. Speaker....
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie maneno yangu mawili matatu katika Mswada huu. Vile vile, ningependa kutoa shukrani ama kumpa kongole Mhe. aliyeleta Mswada huu, kwa sababu umefika kwa wakati wake. Kabla sijaanza kuzungumza, ningependa kutoa salamu za...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Ahsante sana Mhe. Naibu wa Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Ripoti hii ambayo imeletwa na ambayo inahusu swala la usalama katika vivukio vyetu. Kwanza, ninatoa pongezi kwa Kamati ambayo inaongozwa na Mhe. Sharriff Nassir kwa kuweza kuja na Ripoti hii ambayo...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii. Kwanza kabisa ninapeana rambirambi zangu pamoja na familia yangu na wana Lungalunga vilevile na Kwale kwa jumla. Haya ni masuala ambayo yamejiri kwa muda mrefu. Janga la kwanza likitokea Likoni bado...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Thank you, Hon. Speaker, for giving me this opportunity to second the Motion on the nominees of NLC. Our duty, as a Committee, is provided in Standing Order No.216 (1) and (2) . As a Committee, this was a new task because we were given...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Hili ni jambo ambalo ni sugu sana. Kusema kweli, dakika 15 zitakuwa chache sana. Hivi tunavyozungumza, kuja kwa SGR ni maendeleo lakini sasa hivi, kulingana na maelekezo kuwa kasha lolote linalokuja lazima libebwe na SGR mbali...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to add my voice to oppose the directive that has been given by the Executive. The stage was set before for this directive. Initially, it was verbal, but later the Executive realised there was...
Official Hansard sourceHon. Khatib Mwashetani (Lungalunga, JP) Hon. Speaker, I beg to move the following Motion: THAT, this House notes the Report of the Delegation of the Departmental Committee on Lands to the 2018 Annual Wold Bank Conference on Land and Committee on Lands of which I was the leader of the...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Khatib Abdallah Mwashetani has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.