National Assembly
Naomi Shaban
Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Naomi Shaban.
Parliamentary Activity
Hon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Mhe. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipatia fursa hii. Hata mimi naunga mkono kuwa malipo ya wanakandarasi pamoja na wafanyabiashara wanaofanya biashara zao na kupatiwa kandarasi kupitia vitengo mbalimbali vya Serikali walipwe kwa wakati unaofaa. Kwenye kandarasi yoyote, kuna siku mtu ametarajia...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii nami pia kupongeza Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni inayosimamia masuala ya nje. Haswa napongeza mabalozi waliopatiwa nafasi ya kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi katika nchi mbalimbali. Kati yetu sisi sote, wengi wetu tunamfahamu Mhe....
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nataka kuunga mkono mapendekezo haya kwa sababu kuna umuhimu wa ukaguzi wa vitabu haswa kwenye yale mashirika yanayopatiwa pesa za umma. Wasije wakazitumia kiholela holela bila kufikiria kuwa zinaweza kukaguliwa. Kwa hivyo, naunga mkono
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Thank you Hon. Speaker for giving me this opportunity to add my voice and congratulate the Select Committee on Members’ Services and Facilities. This was an idea that was born following a recommendation by the Commission itself that we require such a facility in...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili nitoe risala za rambirambi kutoka kwangu, jamii yangu, na Eneo Bunge la Taveta kwa ujumla. Rais wetu wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwai Kibaki, alikuwa si Rais tu, bali pia baba mpendwa wa...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili nitoe risala za rambirambi kutoka kwangu, jamii yangu, na Eneo Bunge la Taveta kwa ujumla. Rais wetu wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwai Kibaki, alikuwa si Rais tu, bali pia baba mpendwa wa...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga wenzangu mkono ya kwamba wakati huu kila kitu ulimwengu kwote kinafanywa kupitia mitandao ya teknolojia. Wakenya tunajiunga na wengine ulimwenguni ili kufanya mambo kwa mtindo wa kisasa. Ni dhahiri kuwa ulimwengu mzima sasa umekuwa kijiji kimoja....
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also add my voice in congratulating my brother Benjamin Jomo Washiali for a job well-done. This Insurance Professionals Registration Bill is long overdue. We want to see sanity in that sector. We...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to report that a Committee of the whole House has considered the Sacco Societies (Amendment) Bill (National Assembly Bill No. 55 of 2021) and approved the same without amendments. The Temporary Deputy Speaker (Hon. Christopher Omulele) : The...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also congratulate Hon. Kamket for a well-thought-out Bill because we need to bring some hygiene into how the funds for equalisation are being utilised. I just need to point out that the Commission on Revenue Allocation (CRA)...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Mimi nami nataka kuchukua fursa hii kuunga mkono kuwa kanuni hizi za kusimamia November 14, 2019 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 42 Hon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP)A certified version of this Report masuala ya Tume ya Wafanyikazi waUmma...
Official Hansard sourceHon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nami pia nizungumzie suala hili kuhusu Hazina ya Vyama vya Kisiasa. Yangu kwanza ni kutoa shukrani kwa Kamati hii kwa kazi waliyofanya kuhakikisha kuwa mambo ya mtu mmoja kukaa mahali na kufanya...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Naomi Shaban has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.