Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Bady Bady Twalib.
Parliamentary Activity
Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana Mhe. Spika. Mini pia nataka kuunga mkono Hoja hii ya Mhe. Sankok. Kusema kweli, nchi ambayo hali ya uchumi ni ngumu, watu wake hawawezi kuishi vizuri. Kwa hivyo, inaonekana wazi kuwa katika nchi hii hivi sasa, bei ya chakula imepanda sana. Mengi yamezungumziwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kumuuliza Mwanasheria Mkuu Swali lifuatalo:
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Okay, Hon. Deputy Speaker. I stand guided, although I have already raised my point and my people have heard me fighting for them. Wamesikia.
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Hon. Deputy Speaker, do not worry. I am going to do so. Hon. Deputy Speaker, I rise to ask the Attorney-General the following Question about compensation of my good people of Owino-Uhuru:
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza, nataka kumpongeza Mhe. Barasa kwa kuja na Mswada huu. Pia, tumeona kuwa watu wengi wanafanya kazi na baadaye, wanaishi katika ufukara. Vilevile, wengine wanakufa kabla ya kupata marupurupu yao. Mhe. Barasa amefanya vizuri katika Mswada huu kwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Kwa niaba yangu, kwa niaba ya familia yangu na kwa niaba ya wananchi wangu wa Jomvu, natuma rambirambi zetu kwa wale waliopata mkasa wa moto kule Mvita. Pia mimi binafsi, natuma pole kwa ndugu...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ijapokuwa umenipunguzia muda kwa dakika tano, nitazitumia vilivyo. Kwanza, ninaunga mkono Mswada huu kwa kusema kuwa mambo ya ufisadi sio mambo mazuri kufanyika katika nchi yoyote. Ni vizuri sana kuona kile kitengo cha kupambana na ufisadi...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Huo ni ufisadi. Ni ufisadi kuambia watu kuwa SGR lazima ibebe makasha peke yake. Bado niko katika mada ya Mswada huu nikizungumza mambo ya ufisadi. Ni ufisadi mkubwa kuambia watu wapakie makasha katika SGR na si malori. Leo, ninasema tunajitayarisha kushtaki Serikali ya Kenya katika...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi ili niweze kuunga mkono Mswada huu ambao haswa ni Mswada No. 26 wa mwaka 2019 na unaosomwa kwa Mara ya Pili. Juu ya jambo kama hili pia mimi naunga mkono viongozi wenzangu, akiwemo Mhe. Ruweida...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii ilioletwa na ndugu yangu, Mhe. Sherrif Nassir. Nataka kuipinga vikali sana ile amri inayosema kuwa makasha yote yanayotoka katika bandari ya Mombasa yabebwe kupitia SGR hadi Embakasi. Kenya ni...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Bady Bady Twalib has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.