Current Positions
A member of the 11th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Abu Chiaba.
Parliamentary Activity
Sen. Chiaba Asante, Senate Minority Leader na nitaleta uthibitisho kamili wiki ijayo. La zaidi ni kwamba, Gavana wetu hasaidii kaunti yetu. (Applause) Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nimekuwa nikimsikiliza Seneta wa Lamu ambaye ametoa shutuma katika maongezi yake. Hili ni Jumba la itifaki na lazima uwe na ithibati kwa kila...
Official Hansard sourceNidhamu, Bw. Spika wa Muda. Hata mimi ninaweza kuja hapa na kukuambia kuwa hiki na kile kinafanyika kule Mombasa na gavana anafanya hivi na vile halafu niseme kuwa kwa vile mimi natoka Mombasa na nayajua zaidi kukuliko, hakuna haja kufafanua zaidi. Hizi shutuma kuhusu gavana, zitawekwa kwenye kumbukumbu tunazoita the...
Official Hansard sourceSen. Hassan alitaka kujua ikiwa una thibitisho ama vitu kama vile cheti cha kuonyesha kuwa Gavana alimpa mtu fulani ardhi. Sen. Chiaba Bw. Spika wa Muda, thibitisho ni yale ambayo ninasema kwa sababu mimi ni Seneta wa Lamu. Ninajua zaidi yale yanayofanyika Lamu kushinda Sen. Hassan wa Mombasa. Sitaki niingile...
Official Hansard sourceSisi sote tunajua kuwa wewe ni Seneta wa Lamu. Ili kuthibitisha yale unayosema, unafaa kutuletea ushahidi ama cheti ambacho kitaonyesha kwamba mtu fulani alipewa cheti fulani na Gavana. Hiyo itakuwa thibitisho tosha ya kwamba Gavana alienda kinyume na mkataba. Kama hauna, kulingana na March 17, 2016 SENATE DEBATES
Official Hansard sourceKipengele Nambari 94 cha Sheria za Bunge la Seneti, basi lazima uombe msamaha na kuondoa hayo matamshi. Sen. Chiaba Bw. Spika wa Muda, nina uthibitisho kamili. Wiki iliyopita, watu walikuwa na maandamano nami niliunga mkono kuwa maandamano hayo yalikuwa ya haki kwa sababu hawafai kupokonywa kitu ambacho walipewa miaka 15...
Official Hansard sourceJe, unazo karatasi unazosema zilipatikana kwa Kamishna wa Kaunti? Kama huna au kama ziko nyumbani, ni lazima kwanza ukubaliane nasi kwamba hujathibitisha hilo kulingana na Sheria zetu. Kwa hivyo, huwezi kumtaja bila thibitisho. Sen. Chiaba Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Nakuheshimu na kukujulisha kuwa nitakuwa hapa miaka karibu 25....
Official Hansard sourceOrder, Senator! I will not allow you to go on like that. You should either substantiate or withdraw. You could repeat the same remarks on the day you can substantiate that. As of now, you have to withdraw. The Senate Minority Leader (
Official Hansard sourcePoint of information, Mr. Sen. Chiaba I am told Sen (Prof.) Anyang’- Nyong’o had 14 minutes remaining. If he wishes to continue, we can allow him. In the mean time, let us have the Senate Minority Leader. The Senate Minority Leader (Sen. Wetangula) : Thank you Mr. Temporary Speaker, Sir....
Official Hansard sourceSen. Chiaba Madam Temporary Speaker, I rise to support this Motion. I am one of the few Kenyans who know President Obama personally having spent one year with him in 1990/91when we both studied at Harvard Law School. He is a very bright person and we studied courses related to...
Official Hansard sourceSen. Chiaba Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, Wednesday 13th May, 2015:- Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on:-
Official Hansard sourceOrder, Sen. Chiaba! That is not the Table of the Senate. That is your own desk. (Sen. Chiaba moved to the Dispatch Box) Sen. Chiaba
Official Hansard sourceREPORT OF THE TRANSPORT COMMITTEE ON THE ONGOING CONSTRUCTION OF THE SOUTHERN BYPASS REPORT OF THE TRANSPORT COMMITTEE ON THE STUDY TOUR TO QATAR AND SINGAPORE REPORT OF COMMITTEE ON DELEGATED LEGISLATION ON THE PUBLIC FINANCE MANAGEMENT REGULATIONS, 2015 AND LEGAL NOTICE ON THE DECLARATION May 13, 2015 SENATE DEBATES...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Abu Chiaba has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.