Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Boy Issa Juma.
Parliamentary Activity
Sen. BoyBi. Spika wa Muda, ni kawaida kwa binadamu wengine kutoridhika na kila jambo siku hizi. Utasikia mwingine anasema hivi na vile, lakini kongole kwa Rais. Mwenyezi Mungu amjalie aweze kutengeneza zile ambazo ametarajia kutengenezwa na ziweze kuendelea na kumaliza hizo shughuli. Mungu akipenda kila kitu kitakuwa sawa sawa.Sitaki kusema...
Official Hansard sourceSen. Boy Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Taarifa hii ambayo imesomwa na Sen. Dullo. Tatizo kubwa hapa Kenya sasa ni ukosefu wa vitambulisho. Watoto wengi ambao wamemaliza shule miaka iliyopita, wengi hawana vitambulisho. Mimi mwenyewe October 12, 2021 SENATE DEBATES 11 Sen. Boynimeshuhudia...
Official Hansard sourceSen. Boy Asante sana, Bi Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwa niaba yangu na watu wa Kaunti ya Kwale, natoa rambirambi zangu kwa familia ya mwendazake Sen. Prengei. Marehemu alikuwa Naibu Mwenyekiti katika Kamati ya Ardhi, Mazingira na Mali ya Asili. Ninakumbuka kabla hajatoka katika Kamati ile, tulikuwa na...
Official Hansard sourceSen. Boy Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuwakaribisha Waheshimiwa kutoka Kaunti ya Kilifi. Ninawakaribisha ili waweze kuona vile Seneti inaendesha kazi yake katika Bunge letu. Ninawasihii Waheshimiwa kwa sababu hao ndio jicho letu katika kaunti zote 47 ambazo zinawakilishwa na Seneta mmoja ndani ya jumba...
Official Hansard sourceSen. Boy Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuwakaribisha waheshimiwa wa Bunge la Trans Nzoia. Karibuni sana katika Seneti. Kama mnavyojua ni jukumu la Seneti na pia nyinyi waheshimiwa kuangalia kama pesa za kaunti zinatumika vilivyo. Tungetaka nyinyi muwe macho kabisa kuhakikisha pesa hizo zinatumika vizuri....
Official Hansard sourceSen. Boy Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Statement hii ambayo imeletwa hapa na Sen. Faki wa Mombasa County. Kusema ukweli, bodi hii ambayo imechaguliwa na Waziri, ukiangalia vizuri sana, sio sawa kwa sababu watu wa Mombasa hawakujumulishwa au kuhusishwa. Hata Seneta wa Mombasa mwenyewe ambaye ndiye...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Boy Issa Juma has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.