Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Christine Zawadi Gona.
Parliamentary Activity
Sen. Zawadi Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nizungumze machache kuhusiana na taarifa ambayo imeletwa na Sen. Dullo. Kwanza, nataka kumpongeza kwa kuleta taarifa hii kwa wakati huu. Huu ni wakati mwafaka na imekuja wakati ambao unafaa. Unapozungumza mwisho huwa mengi yamezungumzwa lakini kuna mengine ambayo...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa niweze kuwakaribisha Wabunge wa Kaunti ama MCAs kutoka Nandi. Ningetaka nikubaliane na wenzangu wengi kwamba katika Maseneta wachangamshi basi mmoja wao ni Seneta wa Nandi. Kusema ukweli, kama ingekuwa kuzungumza pekee yake ndio kunamrudisha mtu hapa Bunge, nina hakika kwamba angerudi hapa...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Thank you, Mr. Speaker, Sir. I thank you for giving me this opportunity to support this because of the sufferings that many Kenyans are going through. As we know, we are not doing well economically and many families are facing a lot of financial challenges because of the...
Official Hansard sourceSen. Gona Asante kwa kukubaliana na mimi. Kweli bei ya vitu vimepanda na kama mna ufahamu huo nashukuru. Hawa mabwana tunawazungumzia hapa, wao mafuta hununuliwa hata hawajui inauzwa bei gani. Sisi ndio tunapiga kelele tunasema mafuta imepanda lakini wao hawajui. Hivi ving’ora sisi Wabunge ambao tunawakilisha wananchi haturuhusiwi kwenda na...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii na mimi nichangie katika Mswada huu wa marekebisho ya Katiba. Mambo mapya hukumbusha ya kale. Wakati wa kupitishwa kwa hii Katiba ya sasa, nilikuwa upande wa kupinga na nililkuwa na sababu zangu. Hata hivyo, Mungu si athumani, Katiba ilipita. Baada ya...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Ahsante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu kuhusu Taarifa iliyo letwa na Seneta wa Tana River. Naunga mkono yale ambayo yamesemwa. Vile vile, ninashangaa. Mvua inafaa kuwa baraka kwa watu wetu lakini kuna wakati ambapo huwa haikuwi baraka bali inaleta maafa na laana kwa...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Asante Bw. Spika wa Muda, mimi pia ninachukuwa fursa hii kuwakaribisha MCAs wa Kaunti ya Trans Nzioa. Mimi nilikuwa MCA wa Kilifi County. Kwa hivyo, ninawakaribisha. Vile mheshimiwa Wetangula amesema hakuna mipaka kwa yale mambo binadamu anaweza kuyatekelez. Kesho ama kesho kutwa mnaweza kujipata mko hapa. Si maajabu,...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Bw. Naibu Spika, kitendo hicho ni kama kutoa nyama kwa mdomo. Sisi kama Maseneta ambao tumekuja katika Bunge hili ili tuweze kuwa kitu kimoja, tunaipinga. Ningependa kwanza kuomba kwamba makao ya Waziri wa Kilimo, ufugaji na uvuvi yanastahili kuwa katika maeneo ya pwani. Hii ni kwa sababu jimbo...
Official Hansard sourceSen. Zawadi Hoja ya Nidhamu, Bw. Naibu Spika. July 23, 2019 SENATE DEBATES 24 Sen. Zawadi Kama kitu ni kizuri, kinakuja Nairobi. Mtu wa Kilifi akitaka msaada, atatoka Mombasa, Kilifi au Tana River mpaka Nairobi. Hiyo si ungwana. Maana ya ugatuzi ni nini ikiwa watu watatoka kule mashinani na kuja...
Official Hansard sourceBw. Naibu Spika, shukrani kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia taarifa hii ya mipango ya Serikali Kuu kujenga kwa niaba ya kaunti tano. Sisi sote tunajua ya kwamba, kaunti hizi ni kaunti za uvuvi. Huu ni utendakazi ambao umegatuliwa. Katika serikali ya ugatuzi, ni lazima sisi kama Seneti ya Kenya...
Official Hansard sourceSen. Gona Shukrani Bw. Spika kwa kunipa nafasi hii kuwakaribisha wasichana kutoka Kaunti ya Tharaka Nithi. Naamini kwamba watajifunza mengi hapa. Naamini kwamba kuna viongozi watakaotoka miongoni mwao. Nawasihi wawe mfano mzuri tukizingatia mara nyingi shule nyingi huchomwa wakati wa mitihani. Nawahimiza wanafunzi hawa wawe na nidhamu. Wasiwe watovu wa...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Christine Zawadi Gona has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
No papers laid recorded yet.