Senate
Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo
Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo.
Parliamentary Activity
Sen. Madzayo Mr. Speaker, Sir, I want to thank you for welcoming the students from Nakuru. I met with some of the students who came to say hello to me outside Parliament. I want to encourage them to dream higher. I always believe that your dream cannot chase you. You...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Let us listen to Sen. (Dr.) Musuruve. (Sen. (Dr.) Musuruve: Thank you, Madam Deputy Speaker, for giving me this opportunity to give my last speech in this Senate of the Twelfth Parliament. I want to begin by thanking the Almighty God for the gift of life, good health...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bw. Spika, kwanza, nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuchaguliwa kama Seneta wa Kaunti ya Mombasa. Pili nashukuru watu wa Mombasa kwa kunipa fursa ya kuwatumikia kwa miaka mitano kama Seneta wao. Furaha niliyo nayo ni kwamba safari yangu ya kuingia Bungeni ilianza mwaka wa
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante Bi. Naibu wa Spika. Kitu cha kwanza, ninampa kongole ndugu yetu, Sen. Olekina, kwa kuleta hili swala la mafuta. (Sen. Madzayo cleared his throat) Utanisamehe kwa sababu kampeni imekuwa nyingi sana. Kwa hivyo, sauti inaenda. Kila Mkenya anategemea mafuta na maisha ya kila Mkenya yanahusika na mafuta....
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante, Bi. Naibu Spika. Naungana nawe kwa kupeana rambirambi zangu kwa familia, jamii na marafiki wa William Mwamkale Kamoti. Ni huzuni sana kusimama hapa na kuongea juu ya William Kamoti. Alikuwa Mbunge wangu katika Eneo Bunge la Rabai ambalo liko katika Kaunti ya Kilifi. Kamoti alikuwa mwandani wangu....
Official Hansard sourceSen. Madzayo Madam Deputy Speaker, I am not Sen. M. Kajwang’. My name is Sen. Madzayo.
Official Hansard sourceSen. Madzayo Thank you, Madam Deputy Speaker. I beg to lay the following Petition Report on the Table of the Senate today, 7th June, 2022. With your kind permission, if you will allow me, I will make a few comments. This Petition concerns appropriate leave rights for women who miscarry...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante Bw. Spika wa Muda. Kitu cha kwanza, ninaungana na wewe kuwakaribisha maafisa wanaofanya kazi katika serikali za ugatuzi. Maafisa hao 31 wameingia katika Bunge la Seneti ili kujionea hali inavyoendelea. La muhimu ni kwamba hawa wafanyakazi katika maktaba wamekuja hapa kujionea na kupata faida ya kusoma na...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bw. Spika wa Muda, nataka kuongeza kidogo nikisema ya kwamba wale waliotengeza barabara walikuja hapa Kenya wakapata kwamba kuna barabara zake tayari. Walitoboa mashimo, na kutengeneza barabara yao nzuri sana. Mimi nishawahi kuipitia. Lakini sasa, waliharibu barabara ya chini. Kuna umuhimu ya kwamba anayeharibu ndiye anayetengeza. Ninaona kuna...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I second. (Question proposed)
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninasimama kwa hoja ya nidhamu. Ikiwa yule ambaye anazungumziwa hayuko ndani ya Bunge wala hajaitwa Bungeni na kuulizwa kisha akashindwa kujibu, mtu anaweza kusema alimwuliza na hakuweko? Je, ni haki? Waziri wa Kilimo, Ufugaji, Uvuvi na Vyama vya Ushirika, hayuko hapa. Katika mjadala...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bwana Spika wa Muda, mwacha asili ni mtumwa. Sote kama Waafrika tukona asili zetu tofautitofauti. Ukiniambia niwache pombe ya mnazi itakuwa si sawa. Ijapokuwa mimi si Mmaasai lakini naishi naye kila siku nikiingia na nikitoka pia. Yeye ni ndungu yangu na rafiki yangu. Nimeenda ambapo amezaliwa, Kijiji kile...
Official Hansard sourceSen. MadzayoThe late President Kibaki looked at the figures that Hon. Jimmy Angwenyi and April 26, 2022 SENATE DEBATES 46 Sen. Madzayo Rais. Siwezi kusema ni nani sasa, lakini tunajua yule Rais wangu ndiye atakaye kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya.Kwa hivyo, ikiwa ni yeye ndiye atakaye kuwa Rais, tuna...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Madam Temporary Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, Thursday, 7th April 2022. Report on the Standing Committee on Labour and Social Welfare on the Sports Amendment Bill (Senate Bill No.40 of 2021) . I thank you. (Sen. Madzayo laid...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bi. Spika wa Muda, kwanza, nampa kongole Sen. Shiyonga kwa kuleta Taarifa hii kuhusu upungufu wa chakula katika nchi yetu. Ni kweli kwamba chakula ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Kama inavyojulikana, Kenya ni nchi ya ukulima. Ni jambo la aibu kwamba Wakenya wanahangaika kwa sababu ya ukame...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Madam Temporary Speaker, I rise pursuant to Standing Order No.47 (1) , to make a Statement on an issue of general topical concern, namely, the proceedings of the 12th Ordinary Session of the Plenary Assembly of Forum of Parliaments of Member States of the International Conference on the...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante Bi. Spika wa Muda. Pia mimi nataka kumpa kongole Sen. (Dr.) Kang’ata, Senator mchapa kazi kutoka Kaunti ya Murang’a kwa kuleta Hoja hii hapa. Sen. (Dr.) Kang’ata saa ingine hucheka tu hata jambo sio la kuchekesha. Sijui ni binadamu wa aina gani lakini nafikiria kwa sababu hiyo,...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bi. Spika wa Muda, asante. Jana nilikuwa katika safari yangu ya kutoka mashinani nikija huku. Ni ukweli kabisa alichosema ndugu yangu Sen. Wetangula. Katika kila kituo ambapowanauza petroli, wananchi wenye Boda boda wamejaa. Kwanza, wamejaa na majonzi kwamba hakuna petrol. Pili, wamejaa kwa sababu wale Boda boda wanakula...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Bw. Spika, najiunga na wewe mchana wa leo kwa kuwakaribisha wale wangwana ambao ni wafanyikazi katika Kaunti ya Machakos. Kwanza, nawakaribisha na kuwaambia kwamba hapa ndipo kuna kina cha maelezo au ujuzi wote mnahitaji kuijua. Kuja kwenu hapa, mtatoka mkiwa mmeelimika kisawasawa. Ninatumaini ya kwamba yale yote ambayo...
Official Hansard sourceSen. Madzayo Asante sana Bi. Naibu Spika. Kwanza, natoa risala zangu za rambirambi kwa familia, jamii na wananchi wote wa Uganda kwa kumpoteza Spika wao. Pili, tunajua kuwa kumpoteza Spika katika Bunge ni pengo kubwa sana. Halijatokea hapa kwetu na hatuombi litokee. Kumpoteza Spika katika Bunge, kunapatikana wakati mgumu sana....
Official Hansard sourceSen. MadzayoTunaelewa ya kwamba huyu Seneta wa Narok, anapenda wamaasai sana na wamaasai wanampenda. Mara kwa mara, yeye hunionyesha picha za wamaasai wakiwa wamejaa ndani nyumba yake. Lakini hiyo sio lazima Kanuni zetu za Kudumu za Bunge, ziandikwe kwa lugha ya Kimaasai. Nataka kumkosoa ya kwamba hatutakuwa na wakati huo...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Papers Laid
- Petition Report on Appropriate Leave Rights for Women Who Miscarry and Suffer Stillbirths 7 Jun 2022
- Report on the Standing Committee on Labour and Social Welfare on the Sports Amendment Bill (Senate Bill No.40 of 2021) 7 Apr 2022
- Report of the Standing Committee on Labour and Social Welfare on The Employment (Amendment) Bill (Senate Bills No.54 of 2021) 24 Mar 2022