Senate
Mohamed Faki Mwinyihaji
Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Mohamed Faki Mwinyihaji.
Parliamentary Activity
Sen. Faki Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Olekina kuhusiana na ongezeko la mafuta na usimamizi wa mafuta ya petroli katika nchi yetu. Statement ya Sen. Olekina imegonga ndipo kwa sababu kwa muda wa karibu mwaka mmoja, tumeona bei ya mafuta ikiendelea...
Official Hansard sourceSen. FakiATumeangalia zile vipengele tofauti vya sheria hii na tunaona kwamba vyote vitasaidia pakubwa. Ni sheria ambayo italinda watoto wetu katika mambo tofauti. Kwa mfano, katika kifungu cha pili, haki za watoto zimetajwa. Watoto wanastahili kupata maisha na malezi bora, licha ya kuwa wana ulemavu au bila.Tunaona jamii nyingi zikipata...
Official Hansard sourceSen. Faki Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today 14th of June 2022. Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on its Consideration of the Public Finance Management, National Government (amendment) Regulations (Legal Notice No.89 of 2022) on variation...
Official Hansard sourceSen. Faki Mr. Speaker, Sir, I beg to give notice that the Senate adopts the report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on the consideration of the Public Finance Management, National Government (Amendment) Regulations (Legal Notice No.89 of 2022) laid on the Table of the House on Tuesday 14th...
Official Hansard sourceSen. Faki Bw. Spika, nasimama kuunga mkono Ripoti ya Kamati ya Fedha ambayo imewasilishwa katika Bunge la Seneti mchana wa leo na Sen. Farhiya ambaye ni Mheshimiwa wa kamati hio. Asante, Bw. Spika. (Question proposed)
Official Hansard sourceSen. Fakicommitted to the Sessional Committee on Delegated Legislation for scrutiny. Some of the key observations made by the Committee were as follows- June 14, 2022 SENATE DEBATES 24 Sen. Faki committed to the Sessional Committee on Delegated Legislation for scrutiny. Some of the key observations made by the Committee...
Official Hansard sourceSen. FakiIwapo nchi itaweza kupita kiwango chake cha deni cha Kshs9 trillion, itasababisha mkurupuko wa ongezeko la bei. Vile vile shilingi yetu ya Kenya itazidi kudorora dhidi ya dola na hapo itakuwa kizungumkuti katika uchumi wa nchi yetu ya Kenya.Sababu ambazo zimesababisha ongezeko hili ziko wazi. Uchumi uliadhirika zaidi kutokana...
Official Hansard sourceItabidi sasa tuzungumze Kiswahili. COMMITTEE OF THE WHOLE THE COMMUNITY GROUPS REGISTRATION BILL (NATIONAL ASSEMBLY BILLS NO.20 OF 2021) COMMITTEE OF THE WHOLE THE LANDLORD AND TENANT BILL (NATIONAL ASSEMBLY BILLS NO.3 OF 2021) COMMITTEE OF THE WHOLE THE SUGAR BILL (NATIONAL ASSEMBLY BILLS NO.68 OF 2019) COMMITTEE OF THE...
Official Hansard sourceSen. Faki Let us have the Chairperson. THE PUBLIC PROCUREMENT AND ASSET DISPOSAL (AMENDMENT) BILL (NATIONAL ASSEMBLY BILLS NO.32 OF 2021)
Official Hansard sourceLet us have the Chairperson. Sen. Faki Madam Temporary Speaker, I beg to report that the Committee of the Whole has considered the Public Procurement and Asset Disposal (Amendment) Bill (National Assembly Bills No.32 of 2021) and seeks leave to sit again tomorrow.
Official Hansard sourceMadam Temporary Speaker, I beg to move that the House do agree with the Committee on the said report. I request Sen. Faki to second. Sen. FakiLet us have Chairperson. THE SACCO SOCIETIES (AMENDMENT) BILL (NATIONAL ASSEMBLY BILLS NO. 55 OF 2021
Official Hansard sourceSen. Faki Bw. Spika wa Muda, mwenzangu Sen. Khaniri amezungumzia nafsi badala ya nafasi. Nafsi na nafasi ni vitu viwili tofauti. Kaunti ya Vihiga imepata nafasi nyingi kuleta wafanyakazi wake hapa Bunge kusoma. Kwa hivyo, sio nafsi, ni nafasi.
Official Hansard sourceSen. Faki Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kujiunga pamoja na wewe na Seneta wenzangu wahudumu wa maktaba kutoka kaunti zilizotajwa. Maktaba ni kiungo muhimu cha elimu na vile vile cha taasisi tofauti tofauti ili kuweza kujua tunatoka wapi na tunaenda wapi. Yale watakayo soma hapa itasaidia...
Official Hansard sourceSen. Faki Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii., Najiunga na Sen. Cherargei katika maombi yake ya taarifa kuhusiana na barabara ya Mombasa Road. Zabuni ya ile barabara ya moja kwa moja yaani Nairobi Express Way, ni tofauti na zabuni ya kurekebisha barabara ambayo ilikuwako hapo awali; Mombasa...
Official Hansard sourceSen. Faki Mr. Temporary Speaker, Sir, the Controller of Budget Regulations 2021, were published by the Controller of Budget on the 3rd of December, 2021 pursuant to Section 25 of the Controller of Budget Act.
Official Hansard sourceSen. Faki Mr. Temporary Speaker Sir. I beg to move – THAT the Senate adopts the report of the Sessional Committee on Delegated Legislation, on its consideration of the Controller of Budget, Controller of Budget Act (CoB) Regulations,2021, laid on the Table of the Senate on Tuesday, 10th of May,...
Official Hansard sourceSen. Faki Thank you, Mr. Speaker, Sir. I beg to give notice of the following Motion- THAT, the Senate adopts the report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on its consideration of the Controller of Budget Regulations, 2021, laid on the Table of the Senate on Tuesday, 10th May,...
Official Hansard sourceSen. Faki Asante sana, Mhe. Spika. Ninajiunga na wewe kuwakaribisha wageni kutoka Machakos katika Seneti. Pia, tunampongeza Seneta wenu Sen. Kavindu Muthama kwa kuwaalika ili muweze kuona vile Bunge la Seneti linafanya kazi yake. May 11, 2022 SENATE DEBATES 8 Sen. FakiSen. Kavindu Muthama ni makamu wa Mwenyekiti wa Kamati...
Official Hansard sourceSen. Faki Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Report on the Table of the Senate today, 10th May, 2022: Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on the Controller of Budget (CoB) Regulations 2021. Thank you. (Sen. Faki laid the Document on the Table)
Official Hansard sourceSen. Faki Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No. (51) (1) (b) of the Senate Standing Orders to make a Statement relating to the activities of the Senate Sessional Committee on Delegated Legislation during the Sixth Session of the Twelfth Parliament, from January to April,...
Official Hansard sourceSen. Faki Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu wa kudhibiti uchafu katika maeneo yetu. Niruhusu nikupe kongole kwa kutuwezesha kuwa na Kanuni za Kudumu kwa lugha ya Kiswahili. Sikupata fursa ya kukupongeza kwa sababu nilikuwa safarini. Sasa kwa vile tuna Kanuni za Kudumu kwa lugha ya...
Official Hansard sourceSen. Faki Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Nimesimama kuambatana na Kanuni 48 (1) ya Kanuni Za Kudumu za Seneti kuomba Kauli kutoka kwa Kamati ya Barabara na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa Mahakama mpya katika Kaunti ya Mombasa. Bi. Naibu Spika, katika Kauli hiyo, Kamati inapaswa kuangazia yafuatayo:
Official Hansard sourceSen. Faki Asante Bi Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi. Uchaguzi ni gharama kubwa sio kwa serikali pekee yake lakini pia kwa wagombea tofauti ambao wanagombea viti tofauti katika uchaguzi huo. Kuna haja ya kudhibiti matumizi wakati huu wa uchaguzi kwa sababu...
Official Hansard sourceSen. Faki Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuleta Hoja ya nidhamu. Mwaka jana, tulileta Taarifa hapa kuhusiana na kutolipwa mishahara kwa wafanyikazi wa Shirika la Posta la Kenya. Taarifa hiyo ilipelekwa kwa Kamati ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano. Baadaye, walileta taarifa hapa iliyosema mishahara imelipwa. Hata...
Official Hansard sourceSen. Faki Bi. Spika wa Muda, ni swala la kitaifa kwa sababu kwa miezi mitatu, wafanyikazi hawajalipwa. Shirika ninalozungumzia hapa ni la Kiserikali wala sio la mtu binafsi. Kwa hivyo, lazima Serikali ijue na itueleze kwa nini wafanyikazi hao hawajalipwa.
Official Hansard sourceSen. Fakimaeneo yao. Vilevile, miradi wanayoifanya inaanza kukamilika na hivyo kuhitaji pesa nyingi kuweza kutekelezwa kila mwaka. Kwa hivyo, ongezeko la pesa italeta afueni sana kwa kaunti zetu kwa sababu pesa hizo zitasaidia pakubwa katika kurahisisha huduma.Kuna mambo matano ningependa kugusia katika swala hili. La kwanza, kuna pesa za Managed...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Mohamed Faki Mwinyihaji has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
- Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on its Consideration of the Public Finance Management, National Government (amendment) Regulations (Legal Notice No.89 of 2022) on variation of public debt ceiling 14 Jun 2022
- Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on the Controller of Budget (CoB) Regulations 2021 10 May 2022
- Report of the Sessional Committee on Delegated Legislation on the Consideration of the Public Finance Management (Equalization Fund Administration) Regulations, 2021, Legal Notice No. 54 of 2021 28 Sep 2021
- Report of the Parliament of Kenya Delegation to the 64th Commonwealth Parliamentary Conference (CPC) held in Kampala, Uganda, from 22nd to 29th September 6 Nov 2019