Current Positions
A member of the 12th Parliament
2022 General Election
No gazetted 2022 result is linked to this profile.
Committee Membership
The certified current committee roster contains no assignment for Golich Juma Wario.
Parliamentary Activity
Sen. Wario Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Wakenya wamekumbwa na majanga mengi, likiwemo janga la korona na ukame. Leo hii kuna uhaba wa mafuta nchini. Nilisafiri juzi. Nilikuwa miongoni mwa watu waliopanga foleni ndefu kusubiri mafuta. Kule nitokako, wale wanaoathirika zaidi ni watu wanaondesha boda...
Official Hansard sourceSen. Wariotulielezwa kuwa Desemba kazi hii itakuwa imeisha na bado haijaisha. Inaonekana hata hii Desemba ijayo hii kazi haitakuwa imekamilika. Tulitaka matunda ya Rais Uhuru, kuja kutuonyesha magari ikipita juu.Ile kazi inayoendelea sio mbaya; ni nzuri. Ni kama hiyo barabara imepata gorofa. Watu wanatembea chini ya gorofa lakini huko juu...
Official Hansard sourceAsante, Sen. Wario. Kile ambacho nimesikia ukisema ni kwamba mimi naelewa Kiswahili. Nilijua ulitaka kusema ya kwamba nitasema barabara ni ya moja kwa moja. Hukusema kwamba mimi najua mambo zaidi kuhusu ile barabara; najua ulitaka niseme barabara ile ni ya moja kwa moja. Hon Senators, we do not have quorum...
Official Hansard source(Bill deferred) THE ELECTION CAMPAIGN FINANCING (AMENDMENT) BILL (SENATE BILLS NO. 51 OF 2021)
Official Hansard sourceNext order. RECOGNIZING AND APPRECIATING THE ELDERLY BY COUNTY GOVERNMENTS March 02, 2022 SENATE DEBATES 27
Official Hansard sourceSen. Mwaruma is online and he had a balance of 11 minutes. Sen. Mwaruma, unatusikia? Twakusikiza, unaweza kulivalia swala njuga. Wakati Sen. Mwaruma anapojaribu kutafuta pahali pazuri ndiposa tuweze kumsikiza kwa njia shwari, nitamwita Sen. Cherargei,
Official Hansard sourceMr. Temporary Speaker, Sir, I rise to support the Motion on Recognizing and Appreciating the Elderly by County Governments. As the House that protects devolution, we need to protect our elderly. Any society that does not appreciate the elderly is a society that is doomed for failure. Most of this...
Official Hansard sourceSen. Warioulipitisha sheria kuhusu wakongwe. Kwa hivyo, hutaweza kukataa. Wacha tujaribu kuitengeneza vizuri.Bw. Spika wa Muda, wewe ni mfugaji na ninajua kwamba wewe unajua maisha ya ufugaji vile inavyo kaa. Hebu angalia vizuri kama wewe ni mfugaji na umehama, na mzee leo hawezi hama na wewe, atakwambia mimi kichwa inaniuma,...
Official Hansard sourceMarch 02, 2022 SENATE DEBATES 35 Sen. Wario ulipitisha sheria kuhusu wakongwe. Kwa hivyo, hutaweza kukataa. Wacha tujaribu kuitengeneza vizuri.Bw. Spika wa Muda, wewe ni mfugaji na ninajua kwamba wewe unajua maisha ya ufugaji vile inavyo kaa. Hebu angalia vizuri kama wewe ni mfugaji na umehama, na mzee leo hawezi...
Official Hansard sourceAsante Sen. Wario. Nimesikia ukisema kwamba wazee wanasafiri mchana kutwa ndio waweze kupata mahali ambapo watapata malipo yao. Nilidhania utasema ya kwamba, zile Kshs2000 ambazo zinatajwa zinaweza zikawa ni chache pengine kuwe na mikakati ya kuongeza zile hela. Sen. Isaac Mwaura.
Official Hansard sourceSen. Wario Thank you, Madam Temporary Speaker. I support and encourage Sen. Farhiya on this request for Statement from departmental Committee. This is a very timely matter. I know Sen. Farhiya is a member of the same Committee on Finance and Budget. She will put more effort there to make...
Official Hansard sourceSen. Wario Now, we go back to Order No.7. I now call upon Sen. (Dr.) Musuruve to read her statement. October 7, 2021 SENATE DEBATES 40 Sen. Wario Kazi yao haitakamilika bila kufanya kazi ya ugatuzi. Wao wamewekwa katika Kamati hiyo ya Ugatuzi na Mahusiano Kati ya Serikali za Kaunti...
Official Hansard sourceSen. Wario Asante Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi. Lugha ishara ni muhimu katika dunia ya leo. Kwa kweli kuna wale ambao hawajabahatika kuweza kuongea ili waeleweke. Katika hali hiyo, lugha ishara inatumika dunia nzima. Ninaunga mkono lugha hiyo wakati wanapoisherehekea kwa sababu tunaishi na watu hao; ni ndugu zetu na...
Official Hansard sourceSen. Wario Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Mchapishaji wa Serikali za Kaunti. Ninauunga mkono kwa sababu umekuja katika wakati mwafaka. Tumeona kutoka ugatuzi uanze karibu miaka nane sasa, tumekuwa na changamoto nyingi za serikali za kaunti kuweza kuchapisha Miswada yao kwa wakati na kuwasilisha stakabadhi...
Official Hansard sourceAsante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Mchapishaji wa Serikali za Kaunti. Ninauunga mkono kwa sababu umekuja katika wakati mwafaka. Tumeona kutoka ugatuzi uanze karibu miaka nane sasa, tumekuwa na changamoto nyingi za serikali za kaunti kuweza kuchapisha Miswada yao kwa wakati na kuwasilisha stakabadhi muhimu ambazo...
Official Hansard sourceSen. Wario Mr. Speaker, Sir, I thank you for giving me this chance. I rise to support the statement by my good friend, Sen. Faki. Sacking of workers by county governments has become habit. For instance, Tana River County sacked many workers. That move has impoverished the lives of families...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Golich Juma Wario has not sponsored any Bill.
Voting Record
Divisions are recorded when the House takes a formal vote; most business passes by voice vote.
No voting information as yet.
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
No questions recorded yet.
Statements
No statements recorded yet.
Papers Laid
- Report of the Standing Committee on Tourism, Trade and Industrialization on the Petition on the fight against counterfeit and contraband goods presented by Sen. Johnson Sakaja, MP, on behalf of members of Nairobi Importers and Traders Union 17 Oct 2018
- REPORT ON THE FACT FINDING MISSION TO NATIONAL PARKS IN TAITA-TAVETA, ISIOLO AND SAMBURU COUNTIES 17 Oct 2018