Topics Bady Bady Twalib cares about
Follow Bady Bady Twalib
National Assembly
Bady Bady Twalib
Official Background
Current Positions
A member of the 13th Parliament
Committee Membership
- Member of the Transport and Infrastructure committee.
Topics this member is active on
Policy areas drawn from this member's certified verbatim Hansard interventions.
- Budget & Finance 6 6 interventions
- Governance & Democracy 6 6 interventions
- Devolution 2 2 interventions
- Education — CBC 1 1 interventions
- Public Service & Civil Servants 1 1 interventions
- Youth & Sports 1 1 interventions
Parliamentary Activity
Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa na mimi nichangie Mswada ambao, tukiuangalia katika Kipengee cha Katiba 204 (2) , sehemu inayotakikana kuangaziwa zaidi ni mambo ya maji, miundo msingi, barabara, na vilevile umeme. Asante sana, Mhe. Farah Maalim, mzee wangu, mentor. Kwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niunge mkono Hoja ya Mheshimiwa wa Matuga, rafiki yangu, Mhe. Tandaza, kuhusu mti wa Bixa. Tunauita mti huo mrangi katika lugha ya Kiswahili. Ameeleza vizuri kuwa mti wa Bixa uwe commercialised ama ufanywe kuwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda kwa kunipatia hii fursa ili nichangie Hotuba ya Mheshimiwa Rais. Ninampongeza Rais pia ninamwunga mkono kwa yale aliyoyasema. Mombasa tunasema aliitoa hiyo Hotuba kichwa kikavu, yaani, bila kusoma mahali. Kwa hivyo, alijua kile alichosema. Aligusia mambo kadha wa kadha...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Mhe. Spika wa Muda, ninasimama kuunga mkono Hoja hili haswa kwa sababu ya Lungalunga. Ninajua Lungalunga. Yale Mhe. Chiforomodo amesema ni kweli. Tukiangalia, Lungalunga ni hardship area iliyo na matatizo mengi sana. Vilevile, ninataka kuunga mkono alichosema ndugu yangu Mhe. Katana. Ninasema kuwa mahali panapoitwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) It was an old one. Thank you, Hon. Temporary Speaker, for giving me this opportunity. But I wanted to converse on the old one. (Laughter)
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi ili nami nichangie huu Mswada. Usimamizi wa mazingira na utaratibu ni muhimu sana katika kushugulikia maswala magumu ya mazingira. Ninachukua fursa hii kuunga mkono na kumpongeza dada yetu, Mhe. Irene Mayaka, kwa kuleta Mswada wa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nimeridhia kwa kupewa msamiati huu na ndugu yangu Mhe. Tandaza. Yeye amebobea katika mambo haya. Walikuwa wakipanda miti kule Matuga Constituency. Yeye pamoja na Bi. Karuga walikuwa wakitoa miti ya mkalatuzi ili isipandwe na kudhoofisha hali ya udongo au...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Nimesimama kwa hoja ya nidhamu, Mhe. Spika wa Muda, kwa sababu ya Mhe. Tandaza. Ninajua watu huungwa mikono, lakini amesema anaunga Mhe. Irene mpaka miguu na ni msichana. Baadaye, anaweza sema anaunga viuno pia. Naona aiondoe hiyo. 20th November 2024 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 37
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nimesimama kumuunga mkono Mhe. Njeri. Mengi sana yamesemwa hapa. Nimemsikia Mhe. Farah Maalim akisema kwamba amepoteza watu wanane katika familia yao. Humu nchini, watu wengi sana wamepotea. Ni lazima Serikali ishughulikie mambo haya kwa sababu ni jukumu lake kutoa...
Official Hansard sourceHon. Twalib Bady (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu wa 35 wa 2024, juu ya utaratibu wa uokotaji wa ushuru katika gatuzi zetu (County Governments (Revenue Raising Process) Bill (National Assembly Bill No. 11 of 2023) . Mhe. Spika wa Muda,...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) No, Hon. Temporary Speaker. I have to explain myself before you rule. Please.
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Mhe. Spika wa Muda, katika yale ambayo nimesema, yanishangaza kama kuna kitu ambacho kimekoseka pale. Nafikiria labda Kiswahili ndicho ambacho kiliwapita. Kama wanavyosema: ‘Kiswahili si mdomo chao’. (Loud consultations)
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Mhe. Spika wa Muda, nilivyoeleza mimi ni sawa alivyoeleza Mama Zamzam, kuwa sisi tuna desturi ya kulinda wasichana wetu. Hatukusema kwamba Wabunge watakuwa wameenda Mombasa kufuata wasichana. Kwa kuwa watapeleka ushuru, tulisema…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Mhe. Spika wa Muda, kabla sijakubaliana na hilo…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Samahani na nawakaribisha Mombasa. Mkifika kule, mje sehemu inayoitwa…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Kwa hivyo, Mhe. Spika wa Muda, kulingana na amri yako, nimekubali kuomba msamaha na kurudisha ama kutolewa katika kunukuliwa katika Ratiba ya Bunge…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Mhe. Spika wa Muda, nimechukuliwa wakati wangu mwingi sana…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Utanipa nafasi niweze kujieleza. Mpaka sasa, ni kweli…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Kama alivyosema Mhe. Rindikiri, ni ukweli yeye ni rafiki yangu sana. Tulipanga kwamba akifika Mombasa, atakuja sehemu inayoitwa, ‘Kwa Ndege Ya Bady’. Hata wewe, Mhe. Spika wa Muda, umeingia kwenye ndege yangu. Kwa hivyo, tunawakaribisha watu watakaokuja pale Mombasa. Kwa wakati kama huu, mimi nikiwa...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ili niungane pamoja na wenzangu katika kuchangia mada hii. Nataka 1st October 2024 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 45 Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM)kushikana pamoja na Wajumbe wenzangu katika kuunga mkono uteuzi wa Bwana David Kemei katika...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Hon. Speaker, pursuant to Standing Order 43 (1) , I wish to make a general Statement regarding the untimely passing on of Hasmukh Patel, commonly referred to as Hasu – the owner of Mombasa Cement – that occurred on Monday, 29th August 2024 while he...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib Bady (Jomvu, ODM) Thank you, Hon. Speaker. Under your indulgence, I thank you very much for giving me this opportunity to say something on the death of my personal bodyguard, Mr Charlie Odera, which occurred on Friday following a road accident at Mikindani. Mr. Odera was dedicated...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) He had just come to me to consult on a certain matter. As a ranking Member, you know very many people need to consult me before doing anything. (Laughter)
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Hon. Speaker, as a member of the Departmental Committee on Transport and Infrastructure, I am very much aware about that road because it starts from my constituency. On behalf of my chairperson, let me state that in two weeks’ time we will give him a...
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM)Irene Mayaka amezungumza hapa. Kwa nini Serikali haikuweza kusimama…
Official Hansard sourceHon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Absolutely. Mhe. Wandayi anijulishe kila mara. Yeye ni kiongozi. (Laughter)
Official Hansard sourceBills Sponsored
Bady Bady Twalib has not sponsored any Bill.
Voting Record
Voting History: 8
Motions
No motions recorded yet.
Petitions
- Delay in completion of Jitoni-Rabai Road in Jomvu Kuu Ward 7 Dec 2023 Submitted Source ↗
- Compensation for persons affected by Mombasa-Mariakani Road Dualling Project 4 Jul 2023 Submitted Source ↗
Questions
No questions recorded yet.
Statements
- the severe water shortage affecting residents of Jomvu Constituency request 19 Nov 2025
- Passing on of industrialist and philanthropist Hasmukh Patel ‘Hasu Patel of Mombasa Cement’ request 17 Sep 2024
- Lack of adequate funding for projects and maintenance of buildings at the Technical University of Mombasa request 21 Mar 2024
- Fire tragedy at Godoma Boys Secondary School, Kilifi County request 11 Oct 2023
Papers Laid
No papers laid recorded yet.