National Assembly
Mboko Mishi Juma Khamisi
Topics Mboko Mishi Juma Khamisi cares about
Follow Mboko Mishi Juma KhamisiCurrent Positions
A member of the 13th Parliament
2022 General Election
Full candidate results — opponents & margin — from the IEBC per-candidate forms.
Committee Membership
- Member of the Diaspora Affairs and Migrant Workers committee.
- Member of the Parliamentary Powers and Privileges committee.
Topics this member is active on
Policy areas drawn from this member's certified verbatim Hansard contributions.
- Governance & Democracy 3 3 interventions
- Budget & Finance 2 2 interventions
- Devolution 2 2 interventions
- Disaster Management & Relief 1 1 interventions
- Gender & Women Affairs 1 1 interventions
- Infrastructure & Transport 1 1 interventions
- Public Service & Civil Servants 1 1 interventions
- Security & Defense 1 1 interventions
- Trade & Commerce 1 1 interventions
Parliamentary Activity
Hon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Hata mimi nasimama kuunga mkono Mswada huu ambao unazungumzia mfuko wa utajiri wa kitaifa. Unazungumzia vile ambavyo raslimali zetu au mapato tunayopata kutoka kwa rasilimali katika taifa letu zinaweza kuwekwa katika mfuko mmoja ili kusaidia hata vizazi vijavyo. Mfuko huu...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, ninamshukuru sana Mwenyeti kwa kuwa wakati mmoja alikuwa shemeji yetu kule Lamu. Watu wa Lamu na Pwani kwa ujumla, wamekuwa wakizitumia nyavu hizi ambazo, hivi sasa, zinataka kupigwa marufuku. Nimeona Serikali ya Rais William Ruto, ikizungumzia Bottom up,...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Hon. Temporary Chairman, I think we are just moving in circles. You have given a very good proposal and the proposal is, we already have the transition. Let us ensure that we put some empowerment or some funds, which will go directly for the purposes...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Naomba kumpongeza Mhe. Oluoch kwa kuzungumzia mabadiliko ya Mswada huu ambao kwa Kiingereza unaitwa Penal Code. Mswada huu kwanza unahakikisha kwamba maamuzi yatakuwa sawa. (Hon. Owen Baya spoke off the record)
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Naomba kumpongeza Mhe. Oluoch kwa kuzungumzia mabadiliko ya Mswada huu ambao kwa Kiingereza unaitwa Penal Code. Mswada huu kwanza unahakikisha kwamba maamuzi yatakuwa sawa. (Hon. Owen Baya spoke off the record)
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Kwa hakika mabadiliko haya ni sawa hususan baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kifungu 226 hakiko sawasawa na Katiba yetu ya Kenya. Izingatiwe kwamba vipengee 27 na 28 vya Katiba vinazungumzia usawa na kwamba watu wasidhulumiwe. Pia vimezungumzia haki ya...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Kwa hakika mabadiliko haya ni sawa hususan baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kifungu 226 hakiko sawasawa na Katiba yetu ya Kenya. Izingatiwe kwamba vipengee 27 na 28 vya Katiba vinazungumzia usawa na kwamba watu wasidhulumiwe. Pia vimezungumzia haki ya...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Nami naunga mkono marekebisho ambayo yamewekwa katika Mswada huu kwa sababu yatawasaidia wavuvi wetu waweze kuwa na rasilimali ambazo zitawasaidia kukidhi changamoto walizo nazo na waweze kuboresha uvuvi. Wavuvi wetu wachanga na wadogo wadogo wana matatizo mengi sana na hawawezi...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Nami naunga mkono marekebisho ambayo yamewekwa katika Mswada huu kwa sababu yatawasaidia wavuvi wetu waweze kuwa na rasilimali ambazo zitawasaidia kukidhi changamoto walizo nazo na waweze kuboresha uvuvi. Wavuvi wetu wachanga na wadogo wadogo wana matatizo mengi sana na hawawezi...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante sana Mheshimiwa Mwenyekiti wa Muda. Ni vyema umetufafanulia. Naunga mkono marekebisho haya madogo yaliyoletwa na Mwenyekiti wa Kamati husika. Ni kweli, hata huko kwetu Pwani, kama vile Gazi, Mswambeni, kuna BMU na wavuvi wengi wanaotoka katika nchi jirani ya Tanzania, ambao hujulikana kama Wapuma....
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante sana Mheshimiwa Mwenyekiti wa Muda. Ni vyema umetufafanulia. Naunga mkono marekebisho haya madogo yaliyoletwa na Mwenyekiti wa Kamati husika. Ni kweli, hata huko kwetu Pwani, kama vile Gazi, Mswambeni, kuna BMU na wavuvi wengi wanaotoka katika nchi jirani ya Tanzania, ambao hujulikana kama Wapuma....
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Yes, Hon. Temporary Chairlady. I support the amendment. We need to put the responsibility to the county government in case of anything. Sometimes, a county executive committee (CEC) member may not be around. Sometimes, they are re-designated and transferred to other departments and yet, we...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Hon. Temporary Chairlady, I support this amendment because we need to provide a timeline. If we do not specify a timeframe, there will be a lot of delays. I support. The Temporary Chairlady (Hon. (Dr) Rachael Nyamai) : Thank you very much, Hon. Mishi. Proceed,...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Asante, Mhe. Spika. Nashukuru kwa sababu unajua kule Pwani kumeharibika sana. Vijana wameingia katika magenge ya uhalifu. Wanapata motisha baada ya kuvuta bangi. Tulikuwa na mikutano na wao na watu wa idara ya polisi. Tuliwauliza wanahisi nini wakati wamevuta bangi. Walisema hata yule mdudu mdogo,...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Deputy Speaker. I also rise to support the Kenya Judicial Academy Bill, 2025. This Bill seeks to operationalise Article 172 (1) (d) of the Constitution. As we know, the JSC has the mandate to ensure continuous education and training of judges, magistrates,...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Hon. Chairlady, I stand to support this allocation and also suggest that during the Supplementary Budget, we increase this amount. This is because in the coast region, we have a big water problem, and we have two projects: Mzima Springs and Mwache Dam. If they...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Chairlady. I wish to concur with what Hon. KJ has just said. It is important to note that, as Members of Parliament, we have, in collaboration with the national Government, established ICT hubs. Most of them are now almost complete. What we...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Chairlady. I commend the Budget and Appropriations Committee for this allocation in the Programmes under Youth Affairs and the Creative Economy. As we know, many of our Gen Zs are talented, and this is the time to develop their talents so they...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) I pressed the Intervention Button. The Temporary Chairman (Hon. David Ochieng’) : Go ahead. 4th June 2026 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 64 Hon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Hon. Temporary Chairman, I wish to commend the Budget and Appropriations Committee on this issue. This is a department...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) I am sorry, Hon. Temporary Chairman, but I do not know why I am not appearing on your device. I wish to commend the Budget and Appropriations Committee. I also propose that they allocate more funds to the State Department for Trade, given the Special...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Temporary Chairman. After this allocation, I hope that we are not going to face any challenges in disbursement of funds to our elderly persons, persons with disabilities, and orphans. There is a gap in social protection. The approved schools where we take...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko. Mhe. Mishi Mboko (Likoni, ODM)Asante sana Mhe. Spika wa Muda. Napongeza Kamati ya Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi. Ningependa kuongea kuhusu makadirio ya Bajeti ya 2026/2027. Kwanza, ningependa kuzungumzia swala la ukanda maalum wa kiuchumi, kwa Kingereza Special Economic Zones, ambalo halijazungumziwa na Wabunge wenzangu. Kamati imeweka...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Swala la uniforms ni muhimu sana. Ni lazima watoto wetu wavae uniforms kwa sababu kila mtu akivaa nguo zake binafsi, hatutaweza kutofautisha wanafunzi wetu kutokana na wahalifu. Pia, ile heshima ya wanafunzi itapotea. Ninataka nipige msasa na niongeze kondo Mheshimiwa...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Temporary Speaker. I beg to ask the Cabinet Secretary for Education the following: Could the Cabinet Secretary—
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Thank you, Hon. Temporary Speaker. I thank the Cabinet Secretary for Education for the good response he has just presented in this House of Parliament. However, I need clarity on the measures they will put in place to employ affirmative action of placing teachers, because...
Official Hansard sourceHon. Mishi Mboko (Likoni, ODM) Ahsante sana Mhe. Spika. Nina majonzi na nimetamautishwa sana na msiba mkubwa ambao umetukumba katika taifa letu la Kenya. Ni msiba ambao umetuchukulia kiongozi shujaa, ambaye ni wa kuleta amani katika taifa letu la Kenya. Kiongozi ambaye aliangalia Kenya na akaiweka kwa mstari wa mbele...
Official Hansard sourceBills Sponsored
Mboko Mishi Juma Khamisi has not sponsored any Bill.
Voting Record
Voting History: 6
Petitions
No petitions recorded yet.
Questions
- Teacher shortage in Likoni constituency schools to Cabinet Secretary for Education 22 Apr 2026 asked Source ↗
- Could the Cabinet Secretary explain efforts that the Ministry has instituted to address the following challenges facing Junior Secondary Schools in Likoni Constituency and across the country at large: a) inadequate infrastructure for the high enrolment; b) inadequate capitation; and c) shortage of teachers for the 14 learning subjects. to Cabinet Secretary for Education 10 Aug 2023 Pending Source ↗
- Could the Cabinet Secretary explain the measures that the Ministry is undertaking to prevent private developers from grabbing schools playing grounds and community recreational grounds across the country? to Cabinet Secretary for Lands, Public Works, Housing and Urban Development 10 Aug 2023 Pending Source ↗
- Could the Cabinet Secretary – (i) provide a comprehensive list indicating: a) the number of elderly persons, orphans and persons living with disabilities enrolled under the Inua Jamii Cash Transfer Programme in Likoni Sub-County? b) the total number of beneficiaries under the Inua Jamii Programme banking with different commercial banks in Likoni Sub-County? (ii) expound on steps that the Government is taking to ensure that beneficiaries in polygamous households receive benefit commensurate to th to Cabinet Secretary for Labour and Social Protection 2 Aug 2023 Answered Source ↗
Statements
- the status of upgrade of the Likoni Ferry Channel request 3 Jun 2025
- the status of upgrade of the Likoni Ferry Channel request 3 Jun 2025
- Status of upgrading the Likoni Ferry channels request 3 Jun 2025
- Status of operationalization of Liwatoni Fisheries Complex request 14 Aug 2024
- Operationalisation of the Liwatoni Fishery Complex request 14 Aug 2024
- the status request 14 Aug 2024
- the commencement of the Mombasa Gate Bridge Construction Project request 24 Apr 2024
- the management of Likoni and Mtongwe ferry request 3 Aug 2023
- Request for Statement from Chairperson of Select Committee request 6 Jul 2023